TAALUMA
Home Academics

KOZI

UASHI
Masonry

Category: Kozi ya muda mrefu

Vigezo: Muombaji awe amehitimu elimu ya msingi na kuendelea.

Muda: Miaka mitatu

USHONAJI NGUO
Design Sewing and Cloth Technology

Category: Kozi ya muda mrefu

Vigezo: Muombaji awe amehitimu elimu ya msingi na kuendelea.

Muda: Miaka mitatu

UUNGAJI WA VYUMA
Welding and Metal Fabrication

Category: Kozi ya muda mrefu

Vigezo: Muombaji awe amehitimu elimu ya msingi na kuendelea.

Muda: Miaka mitatu

USEREMALA
Carpentry and Joinery

Category: Kozi ya muda mrefu

Vigezo: Muombaji awe amehitimu elimu ya msingi na kuendelea

Muda: Miaka mitatu

TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (ICT)
Information and Communication Technology

Category: Kozi ya muda mrefu

Vigezo: Muombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe na cheti

Muda: Miaka mitatu

UMEME WA MAJUMBA
Electrical installation

Category: Kozi ya muda mrefu

Vigezo: Muombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe na cheti.

Muda: Miaka mitatu